Rais Kikwete akiwa meza kuu na viongozi
wengine katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia
leo wakati wa hafla ya Kongamano la pili la Diaspora. Wengine kutoka
kulia ni Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC, Bw. Matheu Lamolle
Mtafiti wa Massoko wa Taasisi ya International Trade Centre (ITC) ya
Uswisi ambao ndio waliokuwa wadhamini wakuu wa kongamano hilo, Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar (Utawala Bora) Mhe Dk Mwinyihaji
Makame, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania DMV Marekani Bw. Iddi
Sandaly, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Balozi Liberata Mulamula na Bi Mariam Mungula wa Diapora
London. |
No comments:
Post a Comment