![]() |
Mkuu wa Wilaya wa Wanging’ombe, mkoani Njombe Frederick Mwakalebela (wa tatu kushoto walioketi) akiwa katika picha ya pamojawashiriki wa warsha ya utunzaji wa rasilimali za maji. |
![]() |
Mkuu wa Wilaya wa Wanging’ombe, mkoani Njombe Frederick Mwakalebela akifungua warsha ya kujifunza kwa pamoja juu ya utekelezaji wa mpango wa usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimali za maji (UMURAME) iliyoandaliwa na Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kwa kushirikiana na Shirika la WWF Tanzania iliyofanyika mkoani Njombe jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) |
No comments:
Post a Comment