Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu akizungumza
jambo na Rais Dkt Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi
katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30za makazi zinazojengwa na NHC
Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4,Kulia ni
Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais mteule wa chama cha CCM,Dkt John Pombe
Magufuli wakiondoka eneo la tukio mapema leo mchana
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu
akizungumza jambo na Rais Dkt Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe
la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30za makazi zinazojengwa na
NHC Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4,Kulia
ni Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais mteule wa chama cha CCM,Dkt John
Pombe Magufuli wakiondoka eneo la tukio mapema leo mchana.
Sehemu kivuko hicho kilichozinduliwa Rais Dkt Jakaya Kikwete mapema leo mkoani Mtwara.
Naibu
Waziri wa Fedha Mh.Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Waziri wa Ujenzi
Mh.John Pombe Magufuli kabla ya uzinduzi wa Kivuko cha Mv Mafanikio
mkoani Mtwara mapema leo mchana
Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais Jakaya
Kikwete kabla ya uzinduzi wa kivuko cha Mv Mafanikio mkoani Mtwara
mapema leo mchana,kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mh.Fatma Salum Ali.
Mkuruegenzi
Mkuu wa NHC,Nehemia Mchechu akizungumza jambo mbele ya mgeni rasmi Rais
Dkt Jakaya Kikwete pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na
wananchi kwa ujumla katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30 za makazi
zinazojengwa na
NHC Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4,
Rais Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30 za makazi zinazojengwa na
NHC Shangani mkoani Mtwara zenye thamani ya shilingi bilioni 4.4,kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu
pamoja na Waziri wa Ujenzi na Mgombea Urais mteule wa chama cha CCM,Dkt
John
Pombe Magufuli akishuhudia tukio hilo.
PICHA NA MICHUZI JR-MTWARA
No comments:
Post a Comment