KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

August 9, 2015

MAADHIMISHO YA NANE NANE YAHITIMISHWA KITAIFA MKOANI LINDI

jka1
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwapungia mkono na kuwaaga wakulima na wafuagaji wakati wa kufunga Sherehe za Nane Nane mwishoni mwa wiki zilizofanyika Kitaifa katika uwanja wa Ngongo mkoani Lindi.
jka2
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, mhe. Stephen Wasira akimaribisha Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete kuongea na wakulima na wafugaji wakati wa kufunga Sherehe za Nane Nane Kitaifa mwaka huu zilizofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Ngongo mkoani Lindi.
jka3
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantumu Mahiza akitoa salamu za mkoa wa Lindi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete wakati wa kufunga Sherehe za Nane Nane Kitaifa zilizofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Ngongo mkoani Lindi.
jka4
Baadhi ya wananchi wakisikiliza hotuba ya kufunga Sherehe za Nane Nane Kitaifa mwaka huu zilizofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa Ngongo mkoani Lindi kwa kuongozwa na kauli mbiu: “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.

No comments:

Post a Comment