KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 21, 2016

MAJALIWA AIZUNGUMZA NA MAWAKALA WA FORODHA


k1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipekuwa baadhi ya nyaraka zinazoonyehsa jinsi wizi wa fedha za serikali  uliofanywa kwenye  bandari ya Dar es salaam  ukihusisha mabenki wakati akizungumza na  Mawakala wa Forodha na Bandari kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam Machi 21, 2016
.
k2
Baadhi ya Mawakala wa Forodha na Bandari wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salam Machi 21, 2016.
(Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment