| Meneja Mawasiliano wa TPA, Bibi Janeth Ruzangi (kulia) akikabidhi
vitanda 20, magorodo 20 na mashuka 100, vyote vikiwa na thamani ya
shilingi milioni 13 kwa hospitali ya Wilaya ya Kisarawe mwishoni mwa
wiki. Anayekabidhiwa vifaa hivyo ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya
ya Kisarawe, Bwana Hamis Likupotile (kushoto) na Mganga Mkuu wa
Hospitali hiyo, Dkt Elizabeth Oming'o. Makabidhiano hayo yaliyafanyika
hospitali hapo. |
No comments:
Post a Comment