KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 20, 2016

UMOJA WA WALIOSOMA KIGOMA SEKONDARI WAZINDULIWA

kigo2
Mwenyekiti wa Umoja wa Waliosoma Shule ya Sekondari Kigoma mwaka 1991 – 1994 (UWKS) Dkt. Nelson Boniface akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Hotel jijini Dar es Salaam.
kigo3
Katibu  Msaidizi  na Msemaji wa Umoja wa Waliosoma Shule ya Sekondari Kigoma mwaka 1991 – 1994 (UWKS)  Bibi. Elizabeth Bisendo  akifafanua jambo wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Hotel jijini Dar es Salaam.
kigo4
Mwanasheria na Mratibu wa Umoja wa Waliosoma Shule ya Sekondari Kigoma mwaka 1991 – 1994 (UWKS) Wakili Msomi Marko Anthony Nsimba akielezea namna alivyoshughulikia suala la usajili wa Umoja huo wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Hotel jijini Dar es Salaam.
kigo5
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waliosoma Shule ya Sekondari Kigoma mwaka 1991 – 1994 (UWKS) wakiwa katika mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja huo tokea kuanzishwa kwake mnamo mwaka 2011

No comments:

Post a Comment