KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

March 20, 2016

KIKAO CHA MAAFISA HABARI SERIKALINI CHAFUNGWA

oll1
Katibu mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof.Elisante Ole Gabriel akiongea na maafisa Habari na mawasiliano wa Serikali na kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe Steven Kebwe(wa tatu kutoka kulia) kufunga kikao cha 11 cha maafisa hao kilichofanyika Mkoani Morogoro.Wengine pichani  ni Mwenyekiti  mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw.Assah Mwambene(wa kwanza kulia),Kaimu mkurugenzi wa mawasiliano ikulu Bw.Gerson Msigwa(wa kwanza kushoto) na Mwenyekiti wa chama cha maafisa Habari na mawasiliano wa Serikali(TAGCO) Bw.Innocent Mungi.(wa pili kulia).
oll2
: Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe Steven Kebwe wakati alipokuwa akifunga kikao cha 11 cha maafisa hao mkoani Morogoro.
oll3
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Bw.Kebwe Steven Kebwe akiongea  na maafisa habari na mawasiliano wa Serikali  wakati akifunga kikao kazi cha 11 cha maafisa hao kilichofanyika mkoani Morogoro

No comments:

Post a Comment