|
Mshindi wa wa
Promosheni ya kwea pipa kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya
Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona
Machi mwaka huu Jamal Othman mkazi wa Lushoto, Tanga akikabidhiwa mfano
wa hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Mkuu
wa Idara ya Masoko ya Azam Media, Mgope Kiwanga katika mkutano wa
waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini
Dar es salaam. |
No comments:
Post a Comment