Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed
Shein amelihutubia Baraza la Wawakilishi leo kwa mara ya kwanza tangu
achaguliwe kuiongoza tena Zanzibar Machi 20 mwaka huu.Katika hotuba yake hiyo, Dk. Shein amesema hakutakuwa na Makamu wa Kwanza wa Rais, hiyo ni baada ya maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa Machi 20 mwaka huu, kwa maana hiyo hakutakuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani humo.
No comments:
Post a Comment