Kamati ya Bunge ya Afya ikiwasili leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kukagua shughuli za huduma za afya zinazoendelea kwenye hospitali hiyo. |
Daktari wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali, Upendo Ndara akiwaongoza wabunge kuona huduma mbalimbali zinazotolewa na madaktari na wauguzi wa idara hiyo Leo. |
Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Hamis Kigwangallah akifafanua jambo kwa Kamati ya Bunge ambayo imeitembelea leo hospitali hiyo. |
Dk Upendo Ndara wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali akiewaeleza wabunge wa Kamati ya Afya juu ya upanuzi wa jengo la kuwahudumia wagonjwa wa dharura na ajali kwenye hospitali hiyo. |
Mkuu wa Idara ya Wagonjwa wa Afya Akili, Dk Frank Massawe akiwaeleza wabunge wa Kamati ya Afya jinsi idara hiyo inavyotoa tiba kwa wagonjwa wa akili. |
No comments:
Post a Comment