Sehemu
ya madawati 160 yaliyokabidhiwa na Taasisi ya kidini ya Memon Jamaat
katika Shule ya Sekondari Mikocheni, Dar es Salaam leo (Aprili 4).
Wanafunzi wa kidato cha kwanza na pili wa Shule ya Sekondari Mikocheni,
Dar es Salaam wakimsikilza Mwenyekiti wa Bodi ya shule hiyo na Meya
Mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiwahutubia wakati wa
hafla ya kukabihi madawati yaliyotolewa leo (Aprili 4) na Taasisi ya
kidini ya Memon Jamaat.Mwenyekiti
wa Taasisi ya kidini ya Memon Jamaat,Yusuf Esack Ayub akisaidiwa na
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Mikocheni na Meya Mstaafu wa
Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda kukata utepe wakati wa hafla ya
kukabidhi madawati 160 pamoja na vifaa mbalimbali kwaajili ya kusaidia
maendeleo ya elimu kwa wanafunzi wa Shule hiyo, Dar es Salaam leo
(Aprili 4). Wanaoshuhudia ni wanachama wa taasisi hiyo, walimu na
wanafunzi shule hiyo.
No comments:
Post a Comment