KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

April 5, 2016

TADB, PASS WAKUBALIANA KUSAIDIA KILIMO

D3 Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akizungumza kabla ya kutiliana saini makubaliano yatakayowezesha wakulima wanaokopa TADB kupata dhamana kutoka PASS. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PASS, Bw. Nicomed Bohay. D6Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akitia saini makubaliano yatakayowezesha wakulima wanaokopa TADB kupata dhamana kutoka PASS. Katkati ni Mkurugenzi Mkuu wa PASS, Bw. Nicomed Bohay na na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa PASS, Bw. Killo Lussewa (Kulia).
D9Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa PASS, Bw. Nicomed Bohay (Kulia) wakionesha hati za makubaliano yatakayowezesha wakulima wanaokopa TADB kupata dhamana kutoka PASS katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya TADB.

No comments:

Post a Comment