Mkuu wa Wilaya Iringa Richard Kasesela akiangalia vijana hao |
Mkuu
wa Wilaya Iringa Richard Kasesela akifungua Warsha ya kuwawezesha
wanafunzi kutumia kompyuta na wavuti (Bring Computer literacy to
children in Tanzania).
Mradi
huo wa Global Out reach ulibuniwa na Bwana Mussle ambaye alitembelea
Tanzania akimtembelea binti yake aliye kuja kijitlea Iringa (hawa ni
raia wa marekani). Mradi huo unafadhiriwa na
Benki Kuu ya Tanzania , Rotary
International, Roman Catholic Church Iringa, St. Thomas na wadau wengine.
|
Mkuu wa Wilaya Iringa Richard Kasesela akizungumza wakati wa Warsha hiyo. |
No comments:
Post a Comment