Kwa mujibu wa sheria ya Baraza la Michezo ya mwaka 1968 na
kama ilivyorekebishwa mwaka 1971, Msajili wa vilabu na vyama vya michezo
ndiye mwenye mamlaka ya kusajili katiba za vilabu na za vyama vya
michezo.
Kwa kuzingatia nguvu za mamalaka haya hivyo uchaguzi ujao wa yanga pamoja na chaguzi zote za vyama wanachama wa TFF zitafanyika kwa kusimamia kwenye Katiba halali iliyosajiliwa na kutambuliwa na Msajili wa vilabu na vyama vya michezo. |
No comments:
Post a Comment