Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor (wa nne kutoka kushoto) waliopo mbele akiwa katika picha ya pamoja na wadau na wataalam wa Sekta ya Mawasiliano wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao nchini |
Mkurugenzi wa Utawala na rasilimali watu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Bibi Kitolina L. Kippa. akimkaribisha Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor kuzungumza na wadau na wataalamu wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao nchini (hawapo pichani). |
Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor akizungumza na wadau na wataalamu wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao (hawapo pichani) mbele ya vyombo vya habari |
Wadau na wataalamu wanaoandaa Mkakati wa Kitaifa wa Usalama kwenye Mtandao wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Shirika la Mawasiliano la Jumuiya ya madola Dkt. Shola Taylor (hayupo pichani) |
No comments:
Post a Comment