Miongoni
mwa hekima ya mwanadamu ni kujaliwa utimamu na akili yenye kumuongoza.
Katika hili wapo watu wengi sana wamekuwa na maono tofauti ambapo kati
ya maono hayo ni funzo kwa wengine hasa kizazi cha sasa.
Miongoni mwa maono hayo mengine yamekuwa yakinukuliwa na hata kuhifadhiwa kama kielelezo cha kuyathamini.
Leo Juni 6.2016 Mzee Issa G. Shivji (amezaliwa 1946) ni mwanasheria nchini Tanzania
na mwandishi na kielimu, na mmoja wa wataalamu bingwa katika Afrika wa
sheria na masuala ya maendeleo ambaye pia ni miongoni mwa Maprofesa
huku akiwa amewahi kufundisha na kufanya kazi katika vyuo vikuu
mbalimbali duniani kote.
Ni mtafiti
wa hali ya juu, akiandika vitabu, machapisho na makala, vilevile
amekuwa akiandika makala fupi katika katika magazeti ya kila wiki ya
kitaifa na hata sasa kupitia kurasa zake zake za Kijamii ikiwemo ukurasa
wake wa Twitter amekuwa akiposti vitu mbalimbali.
|
June 6, 2016
NENO LA BUSARA SIKU YA LEO KUTOKA KWA MZEE ISSA SHIVJI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment