Mabondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Msafili Haule baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambao wao utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya Jumamosi ya Juni 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Promota wa mkanda wa ubingwa wa Dunia wa U.B.O Juma Ndamile kushoto akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kutangaza mpambano huo pamoja na upimaji uzito kwa mabondia wengine ni Kulwa Makaranga na bondia Cosmas Cheka atakaegombania ubingwa wa Dunia na Chrispin Moliyati mpambao wao utakaofanyika katika uwanja wa ndani wa Taifa siku ya Jumamosi ya Juni 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Lulu Kayage kushoto akitunishiana misuli na mpinzani wake Will Enelesi wa Malawi mpambano wao utafanyika Juni 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar kushoto akitunishiana misuli na Elick Gogodo wa Malawi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia
Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana misuli na Msafili Haule baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambao wao utakaofanyika katika uwanja wa
ndani wa Taifa siku ya jumamosi ya juni 4 Picha na SUPER D BOXING NEWS
……………………………………………………………………………………………………………..
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Cosmas Cheka anapanda ulingoni kugombania ubingwa wa
Dunia wa U.B.O kwa kupambana na Chrispin Moliyati kutoka Malawi mpambano
wa raundi 12
wakisindikizwa na mabondia
chipukizi ambapo bondia kutoka katika kambi ya ‘Super D’ Vicent Mbilinyi
ata kabiliana na bondia kutoka kambi ya ukoo wa Matumla Msafili Haule
watazipiga katika uzito wa Kg 63 mpambano wa raundi 6
Mipambano mingine ya kimataifa itawakutanisha mabondia wa kike Lulu Kayage wa Tanzania atakaezipiga na Will Eneles kutoka Malawi
wengine ni Japhert Kaseba
atazidunda na Amour Mzungu kutoka Zanzibar na Ashiraf Selemani kutoka
Zanziba atakumbana na Elick Gogodo wa Malawi katika mchezo wa uzito wa
juu kabisa
Wakati Alphonce Mchumiatumbo atakabiliana na Mussa Ajibu kutoka Malawi mpambano wa raundi sita
Siku hiyo kutakuwa na burudani
mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa
masumbwi pia ngumi zitaanza mapema kuepusha usumbufu ambao umekuwa
ukijitokeza wa ngumi kuchelewa kurudi majumbani mwao hili safari hii
halitakuwepo na ndiyo maana uamuzi umefanyika ili mapambano hayo yaanze
mapema. |
No comments:
Post a Comment