ZUMBA FITNESS TANZANIA YAANDAA TAMASHA KUCHANGIA KLABU YA VIJANA WAATHIRIKA WA HIV/AIDS YA HOSPITALI YA MUHIMBILI
05: Mratibu wa mazoezi ya viungo kwa kutumia muziki wa klabu ya Zumba
Fitness Tanzania na mtaalamu wa afya ya jamii, Nasra Kondo (kushoto),
akiwaongoza baadhi ya watu waliojitokeza katika tamasha la hisani
kukusanya fedha kusaidia watoto na vijana waathirika wa ugonjwa wa
ukimwi ambao ni wanachama wa klabu iliyo ndani ya Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. Klabu hiyo
ina vijana zaidi ya 120 wengi wao wakiwa wamepoteza mzazi mmoja au wote
wawili.
02: Mratibu wa mazoezi ya viungo kwa kutumia muziki wa klabu ya Zumba
Fitness Tanzania na mtaalamu wa afya ya jamii, Nasra Kondo (kulia),
akiwaongoza baadhi ya watu waliojitokeza katika tamasha la hisani
kukusanya fedha kusaidia watoto na vijana waathirika wa ugonjwa wa
ukimwi ambao ni wanachama wa klabu iliyo ndani ya Hospitali ya Taifa ya
Muhimbili. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. Klabu hiyo
ina vijana zaidi ya 120 wengi wao wakiwa wamepoteza mzazi mmoja au wote
wawili.
03: Baadhi ya watu waliohudhuria katika tamasha la hisani la mazoezi
ya viungo kwa kucheza (zumba), kukusanya fedha kusaidia watoto na
vijana waathirika wa ugonjwa wa ukimwi ambao ni wanachama wa klabu
iliyo ndani ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Hafla hiyo ilifanyika
jijini Dar es Salaam juzi. Klabu hiyo ina vijana zaidi ya 120 wengi wao
wakiwa wamepoteza mzazi mmoja au wote wawili. Tamasha hilo
lililandaliwa na klabu ya Zumba Fitness Tanzania.
No comments:
Post a Comment