KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 24, 2016

BENKI YA CRDB YAKABIDHI TIKETI ZA NDEGE KWA WASHINDI WA KAMPENI YA ‘SHINDA NA TEMBOCARD’


Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,
Tully Mwambapa (katikati), akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi
ya tiketi ya ndege ya kwenda Dubai kwa mshindi wa kampeni ya ‘Shinda na
TemboCard’, Juliana Utamwa (kushoto) katika hafla iliyofanyika makao makuu ya
benki hiyo jijini Dar es Salaama, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Dorisia Nanage
ambaye ni ndugu yake atakayeambatana naye.
 
 
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki
ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia), akimkabidhi tiketi ya ndege ya kwenda Dubai
mshindi wa kampeni ya ‘Shinda na TemboCard’, Juliana Utamwa katika hafla
iliyofanyika jijini Dar es Salaa.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,
Tully Mwambapa (kushoto), akimkabidhi tiketi ya ndege ya kwenda Dubai, Dorisia Nanage
ambaye ataambatana na mshindi wa kwanza, Juliana Utamwa.

No comments:

Post a Comment