Mkuu
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia
akizungumza na wafanyabiashara wa samaki katika soko la kuuzia samaki wabichi na wakavu ambalo limevunjwa na kutakiwa kuhamia kwenye soko la michungwani ambalo limejengwa kwa ubora kwa ajili ya kufanya shughuli zao |
Mfanyabiashara wa soko la samaki la kulia akimuonyesha mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo kitu wakati alipotembelea soko la kuuzia samaki wabichi na wakavu ambapo aliwataka wafanyabiashara hao kuondoka eneo hilo kuhamia eneo la michungwani. |
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Hajat,Mhandisi Mwanasha Tumbo akisisitiza jambo kwa wafanyabiashara wa soko la samaki wabichi na wakavu kuhusu kuondoka eneo hilo na kuhamia soko la michungwani ambalo limejengwa kwa ubora mzuri kwa ajili ya kufanyia biashara zao |
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Hajat,Mhandisi
Mwanasha Tumbo kulia akimsikiliza mmoja wa wafanyabiashara ya samaki
katika soko la kuuzia samaki wilayani humo ambao waliamuriwa kuhamia
kwenye soko la Michungwani ambalo limejengwa kwa ubora kwa ajili ya
shughuli zao.
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
|
No comments:
Post a Comment