KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

July 27, 2016

UHAKIKIA :KOFFI HAJAFUNGWA MIEZI 18 BALI KAWEKWA NDANI SIKU TANO KABLA KESI KUENDELEA

Habari zilizoenea  mtandaoni jana kwamba Koffi Olomide amefungwa miezi 18 imethibitika kwamba si za kweli kwa mujibu wa habari za uhakika kutoka Jijini Kinshasa ni kwamba Koffi amepelekwa jela kwa siku tano kabla ya kufikishwa tena mahakamani kujibu shtaka la kujeruhi kwa kukusudia na kufanya fujo hadharani. 

Koffi alikamwatwa jana Jumanne asubuhi nyumbani kwake Kinshasa na alipelekwa mahakamani ambako amri ya kumweka jela kwa siku tano ikatolewa. 

Anakabiliwa na shitaka la kumjeruhi  dansa wake wa kike Pamela na  kufanya fujo hadharani.


 Video hii inaonyesha jinsi Koffi alivyokuwa akipelekwa gerezani.


No comments:

Post a Comment