Promosheni ya kwanza ya 'Jijenge na Twiga Cement iliyozinduliwa hivi karibuni imefanyika leo jijini Dar es Salaam Makao Makuu ya Twiga Cement ambapo washindi watatu wamepatikana, Pichani kutoka kushoto ni Bakari Majid ambaye ni Mkaguzi Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Wapili Kushoto ni Simon Delens Mkurugenzi wa Masoko wa Twiga Cement na wa kwanza Kulia ni Martha Haule Mkuu wa Idara ya Masoko.Katika Promosheni hiyo washindi watatu wamepatika amabao ni Athanas Nyagalu (Dodoma) ambaye ameshinda mifuko ya saruji 200, Mshindi wa Pili ni Charles Chale ambaye ameshinda mifuko 400, huyu ni mwanafunzi wa Uhasasibu, Mshindi wa kwanza ni Robert Kassim ambaye ni mkazi wa Dodoma yeye ameshinda mifuko 600 ya saruji |
|
|
No comments:
Post a Comment