Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba (kushoto)
akikabidhiwa msaada na Waziri wa Afrika Mashariki Bi. Leontine kutoka
Serikali ya Jamhuri ya Burundi kwa lengo la kuwasaidia waathirika wa
tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba (kushoto) akiongea na
wajumbe kutoka Burundi na Tanzania wakati wa kukabidhi msaada kutoka
nchini Burundi kwa lengo la kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi
mkoani Kagera. Ujumbe wa Burundi uliongozwa na Waziri wa Afrika
Mashariki Bi. Leontine Nzeyimana (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja
Jenerali Mstaafu Salum Kijuu kushoto (kushoto).
No comments:
Post a Comment