Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(wa pili kutoka
kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe waliohudhuria
ufunguzi wa Tamasha la 35 la Sanaa na Utamaduni lililofanyika jana
Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani chini ya uratibu wa Taasisi ya Sanaa
na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa) .
Picha na Lorietha Laurence-WHUSM.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kushoto)
akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa
(BAKITA) Dkt. Seleman Sewangi (kulia) alipowasilia katika Taasisi ya
Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa) kwa ajili ya ufunguzi wa
Tamasha la 35 la Sanaa na Utamaduni lilifanyika jana Wilayani Bagamoyo
mkoa wa Pwani.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(kulia)
akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mwandamizi wa TanTrade Bibi. Masha
Hussein (kushoto) wakati wa ufunguzi wa Tamasha la 35 la Sanaa na
Utamaduni lililofanyika jana Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani chini ya
uratibu wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa).
No comments:
Post a Comment