Diwani wa viti maalum CHADEMA Sara Mwajeka na Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Igumbilo, Fredrick Asenga wakionyesha mfano wa sare za wanafunzi walizotoa msaada
Naibu Meya wa manispaa ya Iringa Joseph Lyata na Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Igumbilo, Fredrick Asenga wakiwa tayari kukabidhi sare kwa wanafunzi
Hawa ni baadhi ya
wanafunzi mia mbili (200) wanaoishi katika mazingira magumu
wanatarajiwa kusaidiwa msaada wa pesa kwa ajili ya kununulia
sabuni,nauli kila wiki na sare za shule ya msingi.
No comments:
Post a Comment