Waziri
wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akiahidi mashirikiano ya karibu
na Shirika la Engender Health wakati wa mazungumzo yake na Rais na
Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo Ulla Muller Ofisini kwake Mnazimmoja Mjini
Zanzibar.

Rais
wa Shirika la Engender Health la Marekani Ulla Muller ambae pia ni
Mtendaji Mkuu (CEO) wa Shirika hilo akizungumza na Waziri wa Afya
Mahmoud Thabit Kombo alipomtembelea Ofisini kwake Mnazimmoja Mjini
Zanzibar, (kulia) ni Mkurugenzi Ufundi ambae ni Naibu mwakilishi wa
Shirika hilo Tanzania Feddy Mwanga.
Maafisa
waliofuatana na Rais wa Shirika la Engender Health kutoka Ofisi ya Dar
es salaam wakifuatilia mazungumzo ya viongozi hao yaliyofanyika Ofisi ya
Waziri wa Afya Mnazimmoja Zanzibar.
Waziri
wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akiagana na mgeni wake Rais na Mtendaji
Mkuu wa Shirika la Engender Health Ulla Muller baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mnazimmoja Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment