KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

September 29, 2016

UZINDUZI WA MATOKEO YA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI WAFANYIKA ZANZIBAR.

vp1
Baadhi ya Waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar. 
vp2
Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mayasa Mahfoudha Mwinyi akitoa maelezo kuhusu utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya binafsi wa Mwaka 2014/15 katika Uzinduzi uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar. 
vp3
Muakilishi wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa Zanzibar Anna Senga akitoa maelezo kuhusu  utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya binafsi wa Mwaka 2014/15 katika Uzinduzi uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar

No comments:

Post a Comment