Waziri Mkuu.Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 5 kutoka kwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe Shyrose Bhanji ukiwa
ni mchango wa mbunge uyo kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani
Kagera.Kulia ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles
Mwijage.
Waziri Mkuu.Kassim Majaliwa
akipokea hundi ya shilingi milioni 37 kutoka kwa group la CEO Roundtable
lililowakilishwa na Bi.Santina Benson (wa pili kushoto) ambapo group
hilo wamekabidhi mchango huo kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani
Kagera.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akipokea msaada wa mabati yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka
kwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Publisher Bw.Eric Shigongo
ikiwa ni msaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Waziri Mkuu.Kassim Majaliwa
akipokea hundi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa Meneja mkuu wa shirika
la Woolworths Tanzania Bw.Joehans Bushiri Mgimba ukiwa ni mchango wa
shirika hilo kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.kutoka
kulia wa kwanza ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles
Mwijage.
Waziri Mkuu.Kassim Majaliwa
akipokea hundi ya shilingi milioni 50 kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa
SBC Tanzania Bw Avinash Jha(wa Kwanza kushoto).Msaada huo ni kwa ajili
ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Waziri Mkuu.Kassim Majaliwa
akipokea hundi ya shilingi milioni 100 kutoka kwa mkurugenzi mkuu wa TBL
Group Bw.Roberto Jalin(wa kwanza kulia) ukiwa ni mchango wa mbunge uyo kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Waziri Mkuu.Kassim Majaliwa
akipokea hundi ya shilingi milioni 404 na laki nane kutoka kwa umoja
wafanyabiashara wa mafuta Tanzania ukiwa ni mchango wa kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
Waziri Mkuu.Kassim Majaliwa
akipokea hundi ya shilingi milioni 20 kutoka kwa mwakilishi wa shirika
la Trans Ocean Supplies Bi.Melisa Katalaia(wa pili kushoto) ikiwa ni
msaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.kutoka kulia ni
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage na wa
kwanza kushoto ni katibu mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera na Uratibu Dkt
Hamis Mwinyimvua.
No comments:
Post a Comment