Balozi wa Umoja wa Ulaya, Roeland Van der GeeR (kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto),wakati wa mazungumzo ya kujadili ushirikiano wa kudhibiti uharamia unaofanyika baharini.Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment