Mkuu wa Wilaya ya Bukoba (DC)
Deodatus Kinawiro (wa kwanza kushoto) akitembelea maeneo mbalimbali
katika Chuo cha Ualimu cha Bukoba kinachomikiwa na Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (BLTC) kinachomolikiwa na Dayosisi ya Kaskazini
Magharibi ambapo wanafunzi wa kidato cha tano kutoka shule ya sekondari
Ihungo wataenda kusoma wakati shule yao inajengwa upya baada ya
kuharibiwa kwa tetemeko la ardhi lililotokea Septemba 10, mwaka huu. Wa
kwanza kulia ni Mkufunzi katika chuo hicho Dafroza Protas.
No comments:
Post a Comment