Baadhi
ya Washiriki watakaowania Taji la Miss Tanzania 2016 wakiwa katika
picha pamoja muda mfupi baada ya kuwasili kambini. Jumla ya Washiriki 30
kutoka kanda mbalimbali nchini wameingia Kambini leo Septemba 30, 2016
tayari kwa maandalizi ya Shindano hilo linalotarajiwa kufanyika mwishoni
mwa Mwezi ujao.
No comments:
Post a Comment