Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsindikiza Rais Mstaafu wa awamu
ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa baada ya maongezi yao ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na
Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman
ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzi na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman
ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi Januari 19, 2017
|
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya
kumbukumbu na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Herman
na ujumbe
wake pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Philip Mpango na Katibu
Mkuu Wizara hiyo Mhe. Dotto James Ikulu jijini Dar es salaam leo
Alhamisi Januari 19, 2017
|
No comments:
Post a Comment