Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania (TAWLA) Bi. Athanasia Soka akfungua
mkutano wa mwaka wa Chama hicho ulioshirikisha wanachama wake ambao ni
wanasheria wanawake, Mkutano huo umefanyika leo kwenye Hoteli ya New
Afrika jijini Dar es salaam na kujadili mambo kadhaa yakiwemo mafanikio
na changamoto zinazokabili chama chao pamoja na jamii kwa ujumla
wake.(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Kutoka kulia ni Maria
Matui Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake Wanasheria Tanzania (
TAWLA), Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Nchini Tanzania
(TAWLA) Bi. Athanasia Soka, Tike Mwambipile Mkurugenzi Mtendaji wa
(TAWLA) na Lulu Ngwanakilala Mtoa mada katika mkutano huo wakifuatilia
mambo mbalimbali yaliyojadiliwa na washiriki wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment