Mkurugenzi
wa Halmshauri ya Wilaya ya Mbogwe, (kulia), Elias Kayandabila,
akizungumza na waandishi wa habari, walioongozana na wataalamu wa
kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) pamoja na
Jukwaa la Bioteknojia na Uhandisi Jeni (OFAB) waliopo mkoani Geita kwa
ziara ya kutoa mafunzo ya kilimo chenye tija kwa maofisa ugani.
No comments:
Post a Comment