KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 14, 2017

MBUNGE WA LUSHOTO ATEMBELEA BARABARA YA MOMBO-SONI KUJIONEA ATHARI ZILIZOTOKANA NA MVUA KUBWA KUNYESHA

Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akikagua athari za mafuriko kwenye
barabara ya Soni hadi Mombo ambapo imefungwa kutokana na vifusi,mawe
kudondoka barabarani na hivyo kusababisha adha hiyo
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akiangalia athari za barabara ya
Mombo hadi Soni ambayo imefungwa kutokana na kushuka kwa mawe makubwa na
vifusi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto
(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akitazama maeneo
yaliyoathirika
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akipita kwenye baadhio ya maeneo
yaliyoathirika na udongo kushuka na kusababisha adha kwa
wasafiri
Mbunge wa Jimbo la Lushoto
(CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia akisistiza jambo kwa
wananchi

No comments:

Post a Comment