KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 16, 2017

MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM


ndg1
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge).
ndg2
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza  Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat,  wakati alipozungumza naye ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge).
ndg3
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment