Dk. Tumaini Gurumo,
Naibu Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) Mipango, Fedha na Utawala akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi
na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa (kushoto) jana wakati Waziri huyo akizindua bodi ya Ushauri ya Chuo hicho wa pili kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Dk. Erick
Massami na wa tatu kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma,Utafiti na Ushauri.
|
No comments:
Post a Comment