Baadhi ya nyumba zilizoathirika
kutokana na Upepo mkubwa uliotokezea hapo jana katika shehia ya
Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe zikionekana kuezekwa na wenyewe.Jumla ya
nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B
unguja.
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Ayoub Mohammed Mahmoud katikati akiwatembelea pamoja na kuwafariji
waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na
Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo
Wilaya ya Magharibi B unguja
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi
Ayoub Mohammed Mahmoud akisalimiana na Mzee Suleiman Ali Makame
muathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na
Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo
Wilaya ya Magharibi B unguja.
Muandishi wa Habari wa ITV na
Redio One Farouk Karim akifanya mazungumzo na Mzee Suleiman Ali Makame
muathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na
Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123 ziliathirika kutokana na Upepo huo
Wilaya ya Magharibi B unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akisalimiana na Mbunge wa
Jimbo la Pangawe na Kijitoupele Shamsi Vuai Nahotha wakati alipofanya
ziara ya kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea
katika shehia ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba
123 ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akipata maelezo kwa Mkuu wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohammed Mahmoud alipofanya ziara ya
kuwatembelea na kuwafariji waathirika wa Upepo uliotokezea katika shehia
ya Kinuni,Mwanakwerekwe na Pangawe ambapo jumla ya nyumba 123
ziliathirika kutokana na Upepo huo Wilaya ya Magharibi B unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment