Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos
Makalla akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa michezo ya Umisseta
Copa Coca Cola katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mwishoni mwa wiki.
Meneja Masoko Msaidizi wa
Coca-Cola,Pamela Lugenge,akiongea wakati wa hafla ya uzinduzi wa michezo
ya Umisseta Copa Coca Cola katika uwanja wa Sokoine mjini Mbeya
mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos
Makalla, akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu za shule zitakazoshiriki
mashindano ya UMISSETA Copa Coca-Cola wakati wa uzinduzi wa mashindano
hayo mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment