KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

May 15, 2017

SERIKALI YAIPONGEZA TPSC KWA KUENDESHA MAFUNZO KWA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Dk. Laurian Ndumbaro (kushoto) akiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa  Jumuiya za Mamlaka za Serikali za Mitaa (ALAT) Steven Mhapa (katikati) kuingia ukumbi wa Mikutano wa chuo cha Ufundi Morogoro kufunga mafunzo ya Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri mbalimbali nchini Kulia ni Mkuu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC) Dk Henry Mambo. TPSC iliendesha mafunzo hayo.


Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Utumishi na Utawala Bora Dk. Laurian Ndumbaro kwa Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri , wa kwanza kushoto ni Gulahamfeez  Mkadam Mwenyekiti wa  Jumuiya za Mamlaka za Serikali za Mitaa (ALAT)  ,wa tatu kushoto ni Meya wa Manispaa ya Morogoro Paschal Kihanga na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Chuo Cha Utumishi wa Umma Tanzania Dk.Henry Mambo. TPSC iliendesha mafunzo hayo kwa kushirikiana na ALAT.


Baadhi ya wajumbe wa mafunzo ya Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri mbalimbali nchini wakifuatilia mafunzo hayo ambayo yaliendeshwa na TPSC kwa kushirikiana na ALAT


Mdau wa Sekta ya Habari Barnabas Lugwisha, akifuatilia mada katika mafunzo kwa Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri mbalimbali nchini, mafunzo hayo ambayo yaliendeshwa na TPSC kwa kushirikiana na ALAT


Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania Dk. Henry Mambo akizungumza wakati wa mafunzo kwa Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri, Madiwani na Waandishi wa Mihutasari wa Vikao vya Halmashauri mbalimbali nchini, mafunzo hayo ambayo yaliendeshwa na TPSC kwa kushirikiana na ALAT

No comments:

Post a Comment