![]() |
Mkuu wa majeshi wa Ivory Coast
ametangaza katika kituo cha televisheni kuwa serikali imefikia
makubaliano na wanajeshi waliogoma na kuhaidi kulipa madai yao ndani ya
siku nne.
Lakini wazungumzaji wawili wa wanajeshi hao wamesema
wamekataa ombi hilo na kuitaka serikali imlipe kila mwanajeshi francs
milioni tano mpaka saba karibia dola 12,000.Karibia wanajeshi elfu nane wamejiingiza kuipinga serikli, baada ya kushindwa kulipwa nyongeza ya fedha walizohaidiwa. |
No comments:
Post a Comment