Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka
wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na Kigoma Mjini, Mabalozi, Watendaji
wa Chama na wa Serkali, mjini Kigoma, leo
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Uvinza, Kigoma Vijijini na
Kigoma Mjini, Mabalozi, Watendaji wa Chama na wa Serkali, mjini Kigoma,
wakishangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya
WazaziTanzania, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwaakizungmza nao katika
kikao kilichofanyika Kigoma mjini, leo.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho,
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya WazaziTanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo akisaini kitabu cha wageni bada ya kuwasili meza kuu
kuhutubia kikao hicho. Kushoto ni Mjumbe wa NEC kutoka Wilaya ya Uvinza
Asha Baraka
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe kutoka Uvinza wakishangilia walipotambulishwa
No comments:
Post a Comment