Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. George
Simbachawene akisalimiana na Rais wa Serikali ya Wanachuo Chuo Kiongozi
cha Mafunzo ya Serikali za Mitaa (Hombolo), Bw. Kelvin Mbuta hivi
karibuni mjini Dodoma. Pembeni ni Kaimu Mkuu wa Chuo hicho, Dkt. Martin
Madale.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. George
Simbachawene akizungumza na Uongoza na Wawakilishi wa Serikali ya
Wanachuo ya Chuo Kiongozi cha Mafunzo ya Serikali za Mitaa
(Hombolo)mjini Dodoma hivi karibuni
No comments:
Post a Comment