 |
Bwana Apolinary Tamayamali kutoka Ofisi ya Rais Ikulu akitoa neno kwa washiriki kuhusu mipango na mchakato wa uandaaji bajeti. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF),
Dk. Tausi Kida akitoa neno la ukaribisho kwenye mafunzo kwa watumishi wa
Ofisi za Wakuu wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya na
Maofisa Mipango wa Halmashauri za Wilaya wa Mikoa ya Mwanza, Mara na
Simiyu kuhusu uandaaji wa mipango mikakati.
 |
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mheshimiwa, John Mongela (katikati) akizindua mwongozo wa kuandaa mipango mkakati ya wilaya. |
No comments:
Post a Comment