KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 2, 2017

MNYIKA ATOLEWA KWA NGUVU BUNGENI

Picha ya HabariLeo
John Mnyika ambaye ni Mbunge wa Kibamba, alikuwa akijibizana na Lusinde, Spika kamuonya afuate utaratibu lakini akawa anaendelea kujibizana ndipo alipoamrisha askari wamtoe nje kwa nguvu.

No comments:

Post a Comment