Mshambuliaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbaraka Yussuf Abeid (katikati) ‘anaposepa’ na kijiji yaani kuhama au kuondoka na idadi kubwa ya watu/mabeki waliomzunguka wakiwamo Salum Mbonde, Shomari Kapombe na Kiungo Aboubakar Salum katika mazoezi ya timu yanayofanyika Uwanja wa mazoezi wa Kituo cha michezo cha Tolip (Tolip Sports City) hapa Alexandria, Misri. Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti kutoka Kampuni ya Bia ya SBL inajiandaa kucheza na Lesotho Juni 10, 2017 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataiafa ya Afrika (AFCON) za mwaka 2019 zitakazofanyika Cameroon. Picha na Alfred Lucas wa TFF
June 2, 2017
TAIFA STARS: MWENDO WA DAKIKA 1,500 KWA SIKU 8

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment