KWA MAONI AU USHAURI E-mail: inocomm2014@gmail.com, PIGA SIMU: 0714555668

www.utt-pid.org


TEMBELEA: www.utt-pid.org

June 2, 2017

TIMU YA TUSKER YA KENYA YAWASILI KUSHIRIKI KATIKA MICHUANO YA SPORT PESA


TUS1
Picha mbalimbali zikionyesha achezaji wa timu ya Tusker ya Kenya wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa ajili ya michuano ya Sportpesa itakayo anza kutimua vumbi  Julay 5 mwaka huu katika uwanja wa  Uhuru  maalufu kama shamba la bibi.Michuano hiyo imedhaminiwa na Kampuni ya Sport Pesa  kwa kuzishirikisha timu zinazo dhaiminiwa na kampuni hiyo za nchi ya Kenye na Tanzania.

No comments:

Post a Comment