Mkurugenzi wa masoko na huduma kwa wateja Bw Elisante Maleko akitoa maelezo ya bima ya kilimo kwa Naibu waziri wa kilimo Mh Omary Mgumba katika maonyesho ya Nanenane 2018 .
Mkurugenzi wa masoko na huduma kwa wateja wa shirika la bima la Taifa (NIC) Bw Elisante Maleko katikati akitoa maelezo kwa mteja aliyetembelea banda la NIC kwenye maonyesho ya Nanenane 2018.

No comments:
Post a Comment