Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein, akisalimiana na Balozi wa Commoro nchini Tanzania alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Comorro akiwa kwenye ziara rasmi nchini humo,sambamba na mkewe mama Mwanamema Shein na viongozi mbalimbali.
No comments:
Post a Comment